Frash votex

Translate

Wednesday, 11 June 2014

Michael Wambula kugombea Urasi Simba Sport Club.

Michael Wambura
MichaelWambula

Hatima ya Wambula kuto kugombea urasi imefikia mwisho leo alipo tangazwa kuwa atakuwa ni miongoni mwa wangombea wa uraisi simba mwaka huu.
Hii imetokana na kile kilicho daiwa kuwa Wambula sio mwana chama halali wa Simba
  na si kama walivyo dai hapo mwanzo pia wakati wa kifungo chake tangu mwaka 2010 alipo fungiwa kugombea alikuwa akiitumikia simba kwa kufuata kanuni na taratibu za Simba ikiwemo kulipa ada ya uwanacha wa Simba.

No comments:

Post a Comment