Mwiinjilisti mwanamke kutoka nchini Nigeria ambaye ana
kibali cha kazi ya uinjilisti katika huduma ya Life Changer
Chapel iliyoko Sinza jijini Dares Salaam , Blessing Dangana,
anayedaiwa kuwatunza raia wa Nigeria watano ambao wanatoa
huduma hiyo bila kibali maalum akitoka nje ya Mahakama ya
Hakimu Mkazi ya Kisutu mara baada ya kufikishwa mahakamani
hapo leo.
|
Baadhi ya raia wa Nigeria wanaodaiwa kutunzwa Mwinjilisti mwanamke
mwenye kibali cha kazi hiyo Blessing Dangana katika huduma ya Life Changer Chapel iliyoko Sinza jijini Dares Salaam , wakitoka nje ya
Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu mara baada ya kufikishwa
mahakamani hapo huku wengine wa kijificha sura zao.
|
|
Baadhi ya raia kutoka mataifa mbalimbali wakiwa katika Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Dares Salaam wakisubiri kurudishwa makwao kesho.
|
|
Baadhi ya vijana wanaodai kuwa wanatoka mkoa wa Kigoma wakiwa wajaza fomu leo ambao taarifa zao zinaendelea kuchunguzwa kama
kweli ni Watanzania wakiwa katika Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Dares Salaam.
|
|
Baadhi ya raia wa Nigeria wanaodaiwa kutunzwa Mwinjilisti mwanamke
mwenye kibali cha kazi hiyo Blessing Dangana katika huduma ya Life C
hanger Chapel iliyo
ko Sinza jijini Dares Salaam , wakitoka nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi
ya Kisutu mara baada ya kufikishwa mahakamani hapo huku wengine wa
kijificha sura zao.
|
|
Gari la Idara ya Uhamiaji likiwa limebeba baadhi ya raia wa Nigeria wanaodaiwa kutunzwa Mwinjilisti mwanamke mwenye kibali cha kazi hiyo Blessing Dangana katika huduma ya Life Changer Chapel iliyoko
Sinza jijini Dares Salaam hao mara baada ya kutoka mahakama ya Hakimu
Mkazi ya Kisutu jijini Dares Salaam.
|
|
No comments:
Post a Comment